BABA YETU IBRAHIMU

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
BABA YETU IBRAHIMU
Loading
/

MATUMAINI PROG 1502
TITLE: BABA YETU IBRAHIMU
TEXT: WAGALATIA 3:6-9
Hujambo msikilizaji wangi mpenzi na karibu tulichambue neno la mungu pamija. Jina langu ni david mungai. Wagalatia 3:6-9 baba yetu ibrahimu. Wimbo alfu tutaendelea.
WIMBO
Naam karibu tena tulichambue fungu la nenp kutoka wagalatia 3:6-9 baba yetu ibrahimu
Kwanini ibrahimu alijulikana sana katika historia ya biblia? Jibu ni kwamba ibrahimu alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa Imani na ndiye baba yetu. Lakini mtume Paulo amwonaje ibrahimu? Nasoma kutoka wagalatia 3:6-9
Ibrahimu na maisha yake ni changamoto kubwa kwetu kwasabu gani?
1 ibrahimu alikuwa na Imani katika mungu aliye wa kweli na ndiye kweli. Ibrahimu aliyasikia maagizo yake mungu na kuyatilia maanani na kumakinika kuwa anyaosyasema mungu ni ya kweli. Maana ni mungu mwenyewe huyatimiza kikamilifu na kwa wakati unaofaa kwa neno lake mungu. ibrahimu alioandika kama tunavyosoma katika ktavu cha mwanzo 12:4
Basi abrahamu akaenda kama bwana alivyo muamuru
Pamoja na hayo ibrahimu alitegemea neno la mungu aliamini kwamba ingawa alikuwa na umri wa miaka 99 atawapata watoto wengi kama nyota za angani watoto katika taifa la Israeli na katika mataifa mengine kwama sisis kwa kumwamini yesu
Nafamilia ya ibrahimu na sarai ikawa kubwa maana hata yesu baada ya kiaka mingi tena sanaakazaliwa. Paulo afundisha kwamba yesu ni wa ukoo na familia ya Ibrahimu kwa nyumba ya isaka na yakobo baba wa Israeli alimozaliwa yesu
Jambo linguine familia zote duniani zatokana na ibrahimu kwanza kabisa alisimama wima pekeyake hata mungu akamwambia mwanzo15:5
Akamleta nje akasema tazama sasa mbinguni kazihesabu nyota kama kweli ukiweza kuziheabu akamwambia ndivyo utakavyokuwa uzao wako. Akmwamini bwana naye akamhesabia jambo hili kwa haki
Na katika ubtahimu familia zetu zote ni mbarikiwa uhusiano wetu na bwana wetu yesu kristo aliyezaliwa wa ukoo wa ibrahimu. Ibrahimu ndiye baba wa mataifa yote na kwa kumwamini yesu kristo tumezaliwa humo na tuwarithi wa ahadi zote mungu alimuahidi
Kwasabbabu Imani yake ibrahimu kwake mwenyezi mungu.ibrahimu akaitwa rafiki ya mungu na baba yetu katika yesu kristo tukawa warithi wa mji wa mbinguni na hakuna awezaye kututoa mkononi mwa mungu. mkononi mwa upendo
OMBI
Endapo wahitaji msaada Zaidi, tafadhali wasiliana nasi, anwani na nambari ya simu ntaisoma baada ya wimbo huu
WIMBO
MATUMAINI
TWR
SLP 21514-00505
NAIROBI KENYA
SIMU: 0721970520
BARUA PEPE: [email protected]
Jina langu ni david mungai, kwaheri kwa sasa

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!