KWANINI PAULO ALIKUWA TOFAUTI

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
KWANINI PAULO ALIKUWA TOFAUTI
Loading
/

MATUMAINI PROG 1495
TITLE: KWANINI PAULO ALIKUWA TOFAUTI?
TEXT: WAGALATIA 1:15-24
Ujambo na karibu tujifunze neno pamoja. Jina langu ni David Mungai na ni furaha yangu kukuletea kipindi hiki cha matumaini leo twalichambua nen kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 1:15-24 kwanini Paulo alikuwa tofauti wimbo alafu tuendelee
WIMBO
Naam karibu tena. Twalichambua fungu la neno kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 1:15-24, kwanini Paulo alikuwa tofauti
Katika historia twasoma watu waliokuwa tofauti kwa sababu maalum. Ibrahimu alikuwa mmoja wao. Aliisikia sauti ya mungu na kwa Imani akaitii. Hali kadhalika na musa ayabadilisha historia ya waisraeli kwa sababu alipenda kuyafuata na kuyazingatia maagizo ya mwenyezi mungu kwa baadhi ya watu, Paulo aliwakasirisha yeye pia alikasirishwa na baadhi ya watu. Wengine walimwona Paulo kama mtu wa kuleta mapinduzi kuubadilisha hata ulimwengu
Kwa baadhi ya watu hata waleo hukumbuka san ahata wakisoma nyaraka zake Paulo kilichomfanya Paulo tofauti, kimeelezwa katika fungu hili la neno kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 1:15-24

15 Lakini yeye aliyenichagua hata kabla sijazaliwa na akaniita kwa neema yake,16 alipopenda kumdhihiri sha Mwanae kwangu ili nimhubiri miongoni mwa watu wa mataifa, sikushauriana na mtu ye yote. 17 Sikwenda kwanza Yerusalemu kuonana na wale waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilikwenda Arabuni, ndipo nikarudi Dameski. 18 Kisha baada ya miaka mitatu nilikwenda Yerusalemu kuo nana na Kefa na nilikaa naye siku kumi na tano. 19 Lakini siku waona wale mitume wengine isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana. 21 Baadaye nilikwenda sehemu za Siria na Kilikia. 22 Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa wakristo wa makanisa ya huko Uyahudi. 23 Ila walisikia wengine wakisema, “Yule mtu ambaye zamani alikuwa akitutesa sasa anahubiri imani ile ile aliyokuwa akitaka kuiangamiza.” 24 Kwa hiyo wakamtukuza Mungu kwa sababu yangu.

Huu ni ushuhuda wake Paulo na ulikuwa wito wake kutoka kwake Mungu na akafahamu ya kwamba mungualimteua kutoka tumboni Paulo alikuwa tofauti nasi maana mara nyini hatukumbuki ya kuwa mungu alitutenga kwa huduma yake tangu tulipokuwatumboni mwa mama. Twasahau kwamba ni kwa neema yaketwaishi. Yeremia pia alipoitwa na mwenyezi mungu alisitasita
Ni nini asilo lijua mungu? ayajua maisha yetu yote juzi, jana leo na hata milel. Maisha ya Paulo na kuhusishwa kwake katika huduma ya kuwapelekea watu wa mataifa injili yalikuwa maagizo na mapenzi yake mungu
Pamoja na hayo kwa kuimulika kwa huduma yake Paulo alihitaji ushirika wa wakristo wenzakr. Baada ya Paulo kukaa arubuni miaka mitatu alienda yerusalemu kumwona petro akakaa kwake siku kumi na tano. Hapo mbeleni Paulo aliishi Yerusalemu akiongezea elimu elimu chini ya mkufunzi rabbi Gamaleli, lakini Paulo alikwenda kwa petro ili wapate ushirika na kubadilishana mawaidha kuhusu uenezaji wa injili. Paulo hakujipiga kifua kwa kiburi na majivuno bali aliutafuta ushirika na umoja wa waliomuwamini yesu kristo
Katika huduma yako mtumumishi wa mungu tafuta ushirika wa ndugu katika kristo
Pamoja na hayo, Paulo alihimiza ukweli tazama maneno ya mstari wa 20
Na hayo ninayowaandikia anfalieni mbel za mungu sisemi uongo
Ukitamani kuhubiri na kuieneza injili ya bwana wetu yesu kristo sema hubiri na uishi na ukweli acha kutafsiti neno kwa ,walemgo ua kujipenda na kubadilisha ukweli wa neno upate kujitajitisha. Paulo alisema aktika mstari wa 24
Wakamtukuza ungu kwa ajili yangu#sema,hubiri na tufanye yote kwa ukwel ili tumtukuze mungu

OMBI
Endapo wahitaji msaada Zaidi tafadhali wasiliana nasi anwani na nambari ya simu ntaisoma baada ya winbo hu

WIMBO

MATUMAINI
TWR
SLP 21514-00505
SIMU: 0721970520
BARUA PEPE: [email protected]
Jina langu ni David Mungai, kwaheri kwa sasa

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!