UJUE MOYO WAKO

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
UJUE MOYO WAKO
Loading
/

MATUMAINI PROG 1494
TITLE: UJUE MOYO WAKO
TEXT: WAGALATIA 1:10-14

Hujambo na karibu tujifunze neno la mungu kutoka kwa waraka wa Paulo kwa wagalatia 1:10-14 ujue moyo wako. Jina langu ni david mungai, karibu wimbo alafu tuendelee

WIMBO

Naam karibuntena utaujua moyo wako namna gani? Kaa hapo tushaurianeninappposema moyo simaanishi kile kiungo cha mwili bali ni mahali ambapo hu=ufanya uamuzi wako. Hii ndiyo sababu neno husema ya kwamba twapaswa kumppenda mungu kwa moyo wote kwa akilizetu zote na kwa nguvu zetu zote
Nasoma sasa kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 1:10-14

10 Je, sasa mimi nataka nipate upendeleo kutoka kwa bina damu au kutoka kwa Mungu? Au nataka niwapendeze watu? Kama ningekuwa najaribu kuwapendeza watu, nisingekuwa mtumishi wa
Wito Wa Paulo
11 Ndugu zangu, napenda mfahamu kwamba Injili niliyo wahubi ria siyo Injili ya binadamu. 12 Kwa maana mimi sikuipokea Injili kutoka kwa binadamu, wala sikufundishwa na mtu, bali nili pata mafunuo moja kwa moja kutoka kwa Yesu Kristo. 13 Ninyi mmekwisha sikia juu ya maisha yangu ya zamani nilipokuwa katika dini ya Kiyahudi; jinsi nilivyolitesa kanisa la Mungu na kujaribu kuliangamiza.14 Nami niliwashinda wengi miongoni mwa Wayahudi wenzangu kwa maana nilikuwa nimejawa na juhudi ya kushika mapo keo ya baba zetu.

Wawezaje kuupa mtihani moyo wako?
Mtihani wa kwanza ni kuyachunguza makusudi yako ya kuyachunguza makusudi ya moyo wako. Je unapotenda jambo watafuta kuwapendeza watu au mungu? au watafuta kujipendeza wewe mwenyewe? Sikiliza vile Paulo ashauri katika mstari ea 10
Maana sasa je mi wanadamu ninaiwashawishi au ni mungu?
Je kwa moyo wako wawashawishi watu au mungu? wautafuta utukufu wako mwenyewe au utukufu wa yesukristo? Makusudi na mathumuni yako ni yapi
Paulo afafanua Zaidi katika maneno ya mstari wa 10
…. Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu singekuwa mtumwa wa kristo
Mstari wa pili upo katika matendi na maneno yako, asema,
12 kwa kuwa sikuipokea kwa mwanadamu wala sikufundishwa na mwanadamu bali kwa ufunuo wa yesu kristo
Ujumbe wake pailo ulikuwa ufunuo kutoka hekaya za abunwasi wala matendo yake kuwa sarakasi tu bali ilikuwa ni ujumbe kutoka kwake mungu matendi yake pia yalionyesha utukufu kwake yesu
Mtihani wa tatu maisha ya Paulo yalithibitisha kwamba alihubiri ukweli watu hupata ujumbe mbili kutoka kwetu
Ujumbe wa kuhubiri na ujumbe wa matendo aliyohubiri aliyatekeleza maishani mwakenaweza kuhubiri ujumbe mtamu lakini matendo yakiwa kinyume yatakuwa kama maziya yaliyoenyuliwa
Zamani nilipokuwa mdaogo baba alifanya kazi katika shamba la mzungu kila asubuhi nilimwona mama akienda kuchoka maziwa yaliyoenguliwa baada ya kutolewa siagi yote na mafuta tuliyanywa yale maziwa lakini kama maji tu hayana fauda kubwa nwilinu. Mahubiri na matendo yetu, matendo na maneno yako yatadhobitisha afya na makusudi ya moyo

OMBI
Endapo wahitaji msaada Zaidi tafadhali wasiliana na si. Anawani na nambari za simu ntazisoma baada ya wimbo huu
WIMBO
MATUMAINI
TWR
SLP 21514-00505
NAIROBI KENYA
SIMU: 0721970520
BARUA PEPE: [email protected]
Jina langu ni david mungai, kwaheri kwa sasa

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!