Jinsi Imani Inavyofanya Kazi

Hope for Today (Swahili)
Hope for Today (Swahili)
Jinsi Imani Inavyofanya Kazi
/
Wagalatia 3:1-5

Hujambo. Karibu tujifunze pamoja kutoka waraka wa Paulo kwa Wagalatia 3:1-5 jinsi Imani hufanya kazi. Jiana langu ni David mungai, wimbo alfu tuendelee

Naam karibu tena. Baadhi yetu hufikiria ya kwamba Imani yetu ni kikwazo wengine hufikiria na kuwaza waza kuwa Imani ni hali ya akili tu lakini tukubali ya kwamba maisha yetu na uammuzi wetu hutegemea namna ya Imani ilivyo na nguvu na uweza wa kuyatenda mabo ya ajabu kwa utukufu wake mungu. twahitaji mazoea ya Imani anza kujifunza kujiombea kwa Imani maana hata kabal ya kuomba mahitaji yetu tayari anayajua n ahata majibu na sulihisho zimo na hutoka kwake mugnu wetu maana hata roho mtakatifu wa mungu hutuombea na kutusaidia katika udhahifu wetu kwa maana hatujui kwamba jinsi itupasavyu lakini roho mwemyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa. Yeye aichungizaye mioyo aijua nia na roho iliyo kwa kuwa huwaombea watakatifu kama apendavyo mungu.

Nasoma sasa kutoka waraka wa Paulo kwa Wagalatia 3:1-5

Ili upate maatokeo mema

1 zingatia lango au saba u ya Imani yako hii kwamba hauwezi kuwa na shaka. Paulo asema, enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaloga ninyi ambao yesu kristo aliwekwa wazi Mbele ya macho yenu kuwa amesulubiwa

Ilikuwa wazi kwamba Imani yao ilikuwa kweli na ni katika aliye kweli bawana wetu yesu kristo

2 ruhusa katika imanai iliyo kweli na kamilifu Paulo aliwakumbusha wagalatia kwamba walianza katika roho na haikuwa na maana au sababu ya kufuatilia utaatibu au namna ya Imani na mafundisho yaliyo kinyume na roho mtakatifu aishiye ndani yetu Paulo awauliza wagalatia

Je, mlipokea roho kwa matendo ya sharia au kwa kusikia kuanatikana na Imani? Je, mmekuwa wajinga namna hii. Baada yakuanza katika roho mnataka kukamilishwa sasa katika mwili? Msikilizaji tuziangalie kwa dhati mwongozo wa Imani yetu katika Yesu Kristo

3 imani hutenda kazi maishani mwetu. Imani hutuweka nguvu na kustahimilisha hata katika masumbuko na mateso yetu mst wa 4

Mmepatikana a mateso makubwa namna hii bure

Paulo alikasirishwa na wagalatia kwa sabau walikubali kudanganywa na waalimu waongo namna walivyomwamini yesu hapo kwanza. Walikuwa tayari wameanza kutegemea nguvu na sharia ambazo kweli hawakufua dafu. Imani katika kristo ndiyo ya pekee ya kutegemewa. Matendo na nguvu zetu zatatuthatarisha na kutukandamiza.