Tazama Pande Zote Mbili

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
Tazama Pande Zote Mbili
Loading
/
Wagalatia 4:21-31

Hujambo msikilizaji wangu na karibu tujifunze neno pamoja. Natumai ubuheri wa afya leo twalichambua Neno kutoka kwa waraka wa Paulo kwa Wagalatia 4:21-31 tazama pande zote mbili, jina kangu ni david mungai, karibu wimbo alafu tuendelee kulichambua neno

Naam karibu tena Wagalatia 4:21-31 tazama pande zote mbili

Wahenga hata wataalamu wa mashauri husema nakufundisha ya kwamba kablaya kufikia uamuzi wa aina iwayo yote tazama pande zote mbili au niseme tazama pande zote mbili maana hiyo ni busara na hekima usije kaanguka ndani ya shimo na kuhesabu hasara

Shirika za waumini katika kata ya asia ndogo walichanganyikiwa walipokosa kuangalia pande zote mbili kabla ya kutoa uamuzi wao katika mabp ya kitoho haswa. Nasoma sasa wagalatia 4:21-31

21 Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je! Hamwisikii sheria?

22 Kwa maana imeandikwa ya kuwa, Ibrahimu alikuwa na wana wawili mmoja kwa mjakazi, na mmoja kwa mwungwana.

23 Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.

24 Mambo haya husemwa kwa mfano; kwa maana hawa ndio kama maagano mawili, moja kutoka mlima Sinai, lizaalo kwa utumwa, ambalo ni Hajiri.

25 Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa anatumika pamoja na watoto.

26 Bali Yerusalemu wa juu ni mwungwana, naye ndiye mama yetu sisi.

27 Kwa maana imeandikwa, Furahi, wewe uliye tasa, usiyezaa; Paza sauti, ulie, wewe usiye na utungu; Maana watoto wake aliyeachwa pekee ni wengi Kuliko wa huyo aliye na mume.

28 Basi, ndugu zangu, kama Isaka sisi tu watoto wa ahadi.

29 Lakini kama vile siku zile yule aliyezaliwa kwa mwili alivyomwudhi yule aliyezaliwa kwa Roho, ndivyo ilivyo na sasa.

30 Lakini lasemaje andiko? Mfukuze mjakazi na mwanawe, kwa maana mwana wa mjakazi hatarithi kabisa pamoja na mwana wa mwungwana.

31 Ndiposa, ndugu zangu, sisi si watoto wa mjakazi, bali tu watoto wa huyo aliye mwungwana.

Tazama pande zotekisha uamue katika fungu hili tume tajiwa mlima wa Sinai uliopo uarabuni mlimani huo musa alipewa Torati ilivyoonyesha kiwango cha utakatifu wa mugnu ukiweka torati yote ukavujna moja umehukumiwa kwamba umevunja sharia yote

Karibu na yerusalemu kunao mlima kalvari na hapo ndipo bwana akaitii na kuiweka sharia na torati yote, bwanawetu yesu kristo hakutenda ndambi alitimiza torati yote akatulipia fidia yote sis wenye

dhambi pia katiak fungu hili twapata wana wawili wa ibrahimu ishamaeli na isaka ibrahimu alimpata ishmaeli na hajiri aliykuwa mjakaziwake hana baliisaka ali,pata isaka walipokuwa wamepitisha amri wa kuzaa ilawa ni kwa neema yake mungu isaka.

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!