NAMNA YAKUPATA AMANI

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
NAMNA YAKUPATA AMANI
Loading
/

MATUMAINI PROG 1490
TITLE: NAMNA YAKUPATA AMANI
TEXT: ZABURI 32
Hujambo na karibu tujifunze pamoja neno la mungu. Leo twalichambua neno la mungu kwa undani kutka zaburi 32 namana ya kupata Amani. Jina langu ni david mungai. Wimbo alafu tuendelee

WIMBO

Naam karibu tena tujifunze neno. Kila mmoja wetu hutamani sana kuwa na hali ya Amani kati yetu na mwenyezi Mungu dini nyingi duniani zimejaribu hayo lakini njia na taratibu zao hukwama njiani twawezaje kupata Amani? Kutoka kwa mwenyezi mungu. Asoma neno kutoka zaburi ya 32. Nasoma
Mwenye furaha ni mtu ambaye amesamehewa kosa lake, ambaye dhambi yake imefunikwa.+ 2  Mwenye furaha ni mtu ambaye Yehova hamwoni kuwa mwenye hatia,+Asiye na udanganyifu katika roho yake. 3  Niliponyamaza, mifupa yangu ilidhoofika kwa sababu ya kulia kwa maumivu makali mchana kutwa.+ 4  Kwa maana usiku na mchana mkono wako ulinilemea.+Nguvu zangu zilitoweka* kama mvuke katika joto kavu la kiangazi. (Sela) 5  Mwishowe nikaungama dhambi yangu kwako;Sikufunika kosa langu.+Nilisema: “Nitaungama makosa yangu kwa Yehova.”+Nawe ukanisamehe kosa la dhambi zangu.+ (Sela) 6  Ndiyo sababu kila mtu aliye mshikamanifu atasali kwako+Maadamu unapatikana.+Ndipo hata mafuriko hayatamfikia. 7  Wewe ni mahali pangu pa kujificha;Utanilinda nisipatwe na taabu.+Utanizunguka kwa kelele za shangwe za ukombozi.+ (Sela) 8  “Nitakupa ufahamu na kukufundisha njia unayopaswa kufuata.+Nitakupa ushauri jicho langu likikutazama.+ 9  Usiwe kama farasi au nyumbu, asiye na uelewaji,+Ambaye ni lazima msisimko wake udhibitiwe kwa hatamu au lijamuKabla hajakukaribia.”10  Mwovu ana maumivu mengi;Lakini mtu anayemtumaini Yehova amezungukwa na upendo Wake mshikamanifu.+11  Furahini kwa sababu ya Yehova na kushangilia, enyi waadilifu;Pazeni sauti kwa shangwe, ninyi nyote mlio wanyoofu moyoni.

Twawezaje kuwa na Amani na mungu wetu muumba wa mbingu nan chi?
Jambo la kwanza tujue na kufahamu ya kwaba tu wenye dhambi lakini hao sio wa mabo yote kwasababu nenolimesema katika mstawi wa kwanza
Heri aliyesamehewa dhambi na kustiriwa makossa yake
Tukubali ya kwa,ba sisi ni wenye dhambi maana tulizaliwa hivyo likini siyo lazima mshahara wa dhambi tuupate. Kuna njia maana tukitubu dhambi zetu mungu hutusamehe na kutustiri dhambi zetu. Na mungu mwenyewe huurejesha uhusiano mwema. Kati yetu naye mungu Amani oyoni niyo jibu
Jitwalie neema ake mungu
Kiri kwa moyo na mdomo wako daudi atufichulia siri ya kuwa na Amani moyoni. Daudi alikiri na kumjulisha Mungu kwamba alikuwa amepotoka na alipokiri alijua hakika kwa neema ake munug angemsamehe hizo dhambi zote na kumwindolea udhalimu kwa neema yake. Si kwa uwezo wake daudi bali kwa uweza wake mwenyezi mungu akajitwalia Amani
Jimbo la tatu, kubali na mwenyezi mungu na kwa unyenyekevu ujitwalie ukweli wa neno lake mungu. mungu hutuogoza kwa neno lake na tusipolisoma neno kjifunza na kujitwalia ukweli wa neno hatutakuwa na mwelekeo. Tumruhusu mungu ashike lijamu na hatamu za maisha yetu. Mungu hutumia neno kwa uweza war oho mtakatofu kutuongoza na kwa neema yake mungu hutupatia Amani ya moyo
Tukijua yakuwa tuko safarini na siku moja tutakuwa pamoja na mwaokozi wetu yesu keristo
Mungu yu tayari kutusamehe na kutuelekeza katika hii safari tunapotubu kuungama nakughaiti mernrndo na kurndea njia zake.
OMBI
Endapo wahitaji msaaa Zaidi, tafadhali wasiliana nasi. Nambari ntakusomea baada ya wimbo huu
WIMBO
MATUMAINI
TWR
SLP 21514-00505
NAIROBI KENYA

SIMU: 0721970520
BARUA PEPE: [email protected]

Jina lamgu ni David Mungai, kwaheri kwa sasa.

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!