Namna Yakupata Amani

Hope for Today (Swahili)
Hope for Today (Swahili)
Namna Yakupata Amani
/
Zaburi 32

Hujambo na karibu tujifunze pamoja neno la mungu. Leo twalichambua neno la mungu kwa undani kutka zaburi 32 namana ya kupata Amani. Jina langu ni david mungai. Wimbo alafu tuendelee

Naam karibu tena tujifunze neno. Kila mmoja wetu hutamani sana kuwa na hali ya Amani kati yetu na mwenyezi Mungu dini nyingi duniani zimejaribu hayo lakini njia na taratibu zao hukwama njiani twawezaje kupata Amani? Kutoka kwa mwenyezi mungu. Asoma neno kutoka zaburi ya 32. Nasoma

1 Mwenye furaha ni mtu ambaye amesamehewa kosa lake, ambaye dhambi yake imefunikwa.

2  Mwenye furaha ni mtu ambaye Yehova hamwoni kuwa mwenye hatia,+Asiye na udanganyifu katika roho yake. 

3  Niliponyamaza, mifupa yangu ilidhoofika kwa sababu ya kulia kwa maumivu makali mchana kutwa.+ 

4  Kwa maana usiku na mchana mkono wako ulinilemea.+Nguvu zangu zilitoweka* kama mvuke katika joto kavu la kiangazi. (Sela) 

5  Mwishowe nikaungama dhambi yangu kwako; Sikufunika kosa langu. +Nilisema: “Nitaungama makosa yangu kwa Yehova.”+Nawe ukanisamehe kosa la dhambi zangu.+ (Sela) 

6  Ndiyo sababu kila mtu aliye mshikamanifu atasali kwako+Maadamu unapatikana.+Ndipo hata mafuriko hayatamfikia. 

7  Wewe ni mahali pangu pa kujificha;Utanilinda nisipatwe na taabu.+Utanizunguka kwa kelele za shangwe za ukombozi.+ (Sela) 

8  “Nitakupa ufahamu na kukufundisha njia unayopaswa kufuata.+Nitakupa ushauri jicho langu likikutazama.+ 

9  Usiwe kama farasi au nyumbu, asiye na uelewaji,+Ambaye ni lazima msisimko wake udhibitiwe kwa hatamu au lijamuKabla hajakukaribia.”

10  Mwovu ana maumivu mengi;Lakini mtu anayemtumaini Yehova amezungukwa na upendo Wake mshikamanifu.+

11  Furahini kwa sababu ya Yehova na kushangilia, enyi waadilifu;Pazeni sauti kwa shangwe, ninyi nyote mlio wanyoofu moyoni.

Twawezaje kuwa na Amani na mungu wetu muumba wa mbingu nan chi?

Jambo la kwanza tujue na kufahamu ya kwaba tu wenye dhambi lakini hao sio wa mabo yote kwasababu nenolimesema katika mstawi wa kwanza

Heri aliyesamehewa dhambi na kustiriwa makossa yake

Tukubali ya kwa,ba sisi ni wenye dhambi maana tulizaliwa hivyo likini siyo lazima mshahara wa dhambi tuupate. Kuna njia maana tukitubu dhambi zetu mungu hutusamehe na kutustiri dhambi zetu. Na mungu mwenyewe huurejesha uhusiano mwema. Kati yetu naye mungu Amani oyoni niyo jibu

Jitwalie neema ake mungu

Kiri kwa moyo na mdomo wako daudi atufichulia siri ya kuwa na Amani moyoni. Daudi alikiri na kumjulisha Mungu kwamba alikuwa amepotoka na alipokiri alijua hakika kwa neema ake munug angemsamehe hizo dhambi zote na kumwindolea udhalimu kwa neema yake. Si kwa uwezo wake daudi bali kwa uweza wake mwenyezi mungu akajitwalia Amani

Jimbo la tatu, kubali na mwenyezi mungu na kwa unyenyekevu ujitwalie ukweli wa neno lake mungu. mungu hutuogoza kwa neno lake na tusipolisoma neno kjifunza na kujitwalia ukweli wa neno hatutakuwa na mwelekeo. Tumruhusu mungu ashike lijamu na hatamu za maisha yetu. Mungu hutumia neno kwa uweza war oho mtakatofu kutuongoza na kwa neema yake mungu hutupatia Amani ya moyo

Tukijua yakuwa tuko safarini na siku moja tutakuwa pamoja na mwaokozi wetu yesu keristo

Mungu yu tayari kutusamehe na kutuelekeza katika hii safari tunapotubu kuungama nakughaiti mernrndo na kurndea njia zake.