Kweli Mungu Yupo

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
Kweli Mungu Yupo
Loading
/
Isaya 40:25-31

Hujambo na karibu. Leo neno la mungu linatuhakikishia kweli mungu yupo. Isaya 40:25-31. Jina lang ni David Mungai. Karibu wimbo halafu tuendelee

Wimbo

Karibu tena tiujifunze neno la mungu isaya 40:25-31

Vitabu vingi vimeandikwa kujaribu kueleza kweli yakwamba mungu you, kama inavyofunuliwa katika Biblia, neno la mungu. Napendekeza kama huna biblia umwombe akupatie njia ya kupata moja. Pia unaweza kuwasiliana nasi anwani ntaisoma kabla ya kumaliza kipindi hiki.

Nasoma chuo cha nabii isaya 40:25-31

25 Mtanifananisha na nani, basi, nipate kuwa sawa naye? Asema yeye aliye Mtakatifu.

26 Inueni macho yenu juu, mkaone; ni nani aliyeziumba hizi; aletaye nje jeshi lao kwa hesabu; aziita zote kwa majina; kwa ukuu wa uweza wake, na kwa kuwa yeye ni hodari kwa nguvu zake; hapana moja isiyokuwapo mahali pake.

27 Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, Bwana asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?

28 Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.

29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.

30 Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;

31 bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia. Ili tuweze angalao kujua na kufahamu ya kuwa mungu yupo nabii atupatia kweli kadhaa zakutafakari.

1 tafakari nakujaribukuutazamakwa undani hekima yake mungu, mungu aliumbaviumbe vyote na tunavyoona na macho yote na tusivyoonawaka kugusa. Ndiposa asema

25 Mtanifananisha na nani, basi, nipate kuwa sawa naye? Asema yeye aliye Mtakatifu.

26 Inueni macho yenu juu, mkaone; ni nani aliyeziumba hizi; aletaye nje jeshi lao kwa hesabu; aziita zote kwa majina; kwa ukuu wa uweza wake, na kwa kuwa yeye ni hodari kwa nguvu zake; hapana moja isiyokuwapo mahali pake.

Miaka maelfu iliyopita kabala ya kuzaliwa kwake yesu kristo, baadhi ya nyota zimetajwa katika kitabu cha ayubu; ayubu 9:9

9 nyota za dhahabu ba orioni na hicho kilimia.

Waziona angalau kila usiku. Hebu fikiria hekima ya mungu aliyeumba nyota hizo ziko pale hazibadiliki. Ni mungu muumba wetu aleyziumba na kuziweka pale karne nyingi za miaka iliyopita.

2 itazame kwa undani haki yake mungu. Lakini sisi kama yakobo na wana wa Israeli huleta kila siku. Uadilifu na haki yake mungu ni ya milele na milele natunafarijiwa sana na maneno haya

28 Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.

Mungu ajua yote na hutenda mambo kwa haki hutoa hukumu kwa hakihutoa hukumu kwa haki siyo kama mahakama ya dunia hii

3 mungu anatamani sana kujua na kusuluhisha fadhaha na masumbuko yetu

29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.

30 Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;

31 bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.

Ili tuweze angalao kujua na kufahamu ya kuwa mungu yupo nabii atupatia kweli kadhaa zakutafakari.

Na tazama wala kuangamizwa na mambo ya dunia hii kwa sababu mungu muumba wa mbingu na nchi an ndiye muumba wetu. Twaweza kumwamini maana yeye ndiye muumba wetu. Na kwa sababu mungu ni mwaminifu, kutimiz ahadi zake astahili sifa na shukrani zetu.

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!