Wenye Dhambi Tufanye Nini

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
Wenye Dhambi Tufanye Nini
Loading
/
Zaburi 51:1-17

Msikilizaji wangu mpenzi natumai u buheri wa afya na hao ndiyo maombi yangu. Leo twajiuliza swali wenye dhambi tufanye nini? Jha langu ni david mungai. Wimbo alafu tuendelee

Naam karib tulichambue neno. Leo twajiuliza swali hili, wenye dhambi tufanye nii? Naisoma zaburi ya 51:1-17

Nihurumie, Ee Mungu, kadiri ya fadhili zako; ufutilie mbali makosa yangu, kadiri ya wingi wa huruma yako. Unioshe kabisa hatia yangu; unisafishe dhambi yangu. Nakiri kabisa makosa yangu, daima naiona waziwazi dhambi yangu. Nimekukosea wewe peke yako, nimetenda yaliyo mabaya mbele yako. Uamuzi wako ni wa haki hukumu yako haina lawama. Mimi ni mkosefu tangu kuzaliwa kwangu, mwenye dhambi tangu tumboni mwa mama yangu. Wewe wataka unyofu wa ndani; hivyo nifundishe hekima moyoni. Unitakase kwa husopo, nitakate; unioshe niwe mweupe pe. Nijaze furaha na shangwe, nifurahishe tena, mimi ambaye uliniponda. Ugeuke, usiziangalie dhambi zangu; uzifute hatia zangu zote. Uniumbie moyo safi, ee Mungu, uweke ndani yangu roho mpya na thabiti. Usinitupe mbali nawe; usiniondolee roho yako takatifu. Unifanye nifurahi tena kwa kuniokoa, utegemeze ndani yangu moyo wa utii. Hapo nitawafunza wakosefu njia yako, nao wenye dhambi watarudi kwako. Uniokoe na hatia ya umwagaji damu, ee Mungu, Mungu mwokozi wangu, nami nitaimba kwa sauti kuwa umeniokoa. Uniwezeshe kusema, ee Bwana, midomo yangu itangaze sifa zako. Kwa kweli wewe hupendezwi na tambiko, ama sivyo mimi ningalikutolea. Wewe huna haja na tambiko za kuteketezwa. tambiko yangu kwako ee Mungu, ni moyo mnyofu; wewe, ee Mungu, hukatai moyo mnyofu na mtiifu. Ee Mungu, upende kuutendea mema mji wa Siyoni; uzijenge tena upya kuta za mji wa Yerusalemu. Hapo utapendezwa na tambiko za kweli: Sadaka za kuteketezwa na za kuteketezwa nzima; mafahali watatolewa tambiko madhabahuni pako.

Sisi wenye dhambi tufanyaje?

1 ruombe rehema kama rulizyo soma katika mstari wa kwanza. Kutubu na kuungama dhambi naye mungu huturehemu. Tumwombe Mungu aturehemu. Tutubu dhambi zetu zote tusizozojua na tunazo zijua naye atatutakasa. Daima na siku zote sisi ni wenye dhambi na je tunapotubu dhambi nini hutendeka?

7 utusafishe kwa hisopo name ntakuwa safi

Neno hilo hisopo. Hisopo ulikuwa mti katika familia nying nchini Israeli majani ya mti wa hisopo yalitumiwa kuosha viyombo na kugarisha kabisaa. Pamoja na hayo, majani ya hisopo yalitumiwa kuosha vidonda vya watu waliougua ukoma

Mmea maalum wakuosha safi kabisa mfano wa damu ya yesu ambayo hutuosha dhambi zzeu na huwa safi kama theluji. Heri kuamini linavyosema neno

Tafadhali tazama kwa makini kabisa kwamba tunapotubu na kuugama na kughawi mienedo yetu hayo mengine mwachie mungu. Msamaha na utakaso hioka kwa mungu twapokea utakaso kutoka kwa mungu. Twapokea utakaso kwa Imani pamoja na hayo tukubali kwamba mungu ametupokea na

Zaidi tuombe kuumbwa upya

Baada ya hayo, mungu hutufanya viumbe vipya na kuturejeshea uwepo war oho mtakatifu moyoni na maishani mwetu na kumruhusu roho mtakatifu kuwa na uhuru wa kutenda mambo maishani mwetu. Na hivi maisha yetu hujawa na sifa tele maana hufurahia ushirika mwema na mungu wetu maishani.

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!