UMUHIMU WA IMANI

Hope for Today (Swahili)
Hope for Today (Swahili)
UMUHIMU WA IMANI
/
Wagalatia 3:26-29

Katika maisha yetu tunavyo vitu tunavyothamini kuliko vingine kulingana na umuhimu wa vitu vile katika maisha yetu. Hii ni baada ya uchunguzi na upelelezi wa kina sana na hivyo basi mtu aweza kuwa na Imani na kile chombo au kitu Lakini hapa Paulo atufunza Imani ilivyo maana Zaidi