Ujue Moyo Wako

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
Ujue Moyo Wako
Loading
/
Wagalatia 1:10-14

Hujambo na karibu tujifunze neno la mungu kutoka kwa waraka wa Paulo kwa Wagalatia 1:10-14 ujue moyo wako. Jina langu ni david mungai, karibu wimbo alafu tuendelee

Naam karibuntena utaujua moyo wako namna gani? Kaa hapo tushaurianeninappposema moyo simaanishi kile kiungo cha mwili bali ni mahali ambapo hu=ufanya uamuzi wako. Hii ndiyo sababu neno husema ya kwamba twapaswa kumppenda mungu kwa moyo wote kwa akilizetu zote na kwa nguvu zetu zote

Nasoma sasa kutoka waraka wa Paulo kwa Wagalatia 1:10-14

10 Je, sasa mimi nataka nipate upendeleo kutoka kwa bina damu au kutoka kwa Mungu? Au nataka niwapendeze watu? Kama ningekuwa najaribu kuwapendeza watu, nisingekuwa mtumishi wa
Wito Wa Paulo

11 Ndugu zangu, napenda mfahamu kwamba Injili niliyo wahubi ria siyo Injili ya binadamu. 

12 Kwa maana mimi sikuipokea Injili kutoka kwa binadamu, wala sikufundishwa na mtu, bali nili pata mafunuo moja kwa moja kutoka kwa Yesu Kristo. 

13 Ninyi mmekwisha sikia juu ya maisha yangu ya zamani nilipokuwa katika dini ya Kiyahudi; jinsi nilivyolitesa kanisa la Mungu na kujaribu kuliangamiza.

14 Nami niliwashinda wengi miongoni mwa Wayahudi wenzangu kwa maana nilikuwa nimejawa na juhudi ya kushika mapo keo ya baba zetu.

Wawezaje kuupa mtihani moyo wako?

Mtihani wa kwanza ni kuyachunguza makusudi yako ya kuyachunguza makusudi ya moyo wako. Je unapotenda jambo watafuta kuwapendeza watu au mungu? au watafuta kujipendeza wewe mwenyewe? Sikiliza vile Paulo ashauri katika mstari ea 10

Maana sasa je mi wanadamu ninaiwashawishi au ni mungu?

Je kwa moyo wako wawashawishi watu au mungu? wautafuta utukufu wako mwenyewe au utukufu wa yesukristo? Makusudi na mathumuni yako ni yapi

Paulo afafanua Zaidi katika maneno ya mstari wa 10

…. Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu singekuwa mtumwa wa kristo

Mstari wa pili upo katika matendi na maneno yako, asema,

12 kwa kuwa sikuipokea kwa mwanadamu wala sikufundishwa na mwanadamu bali kwa ufunuo wa yesu kristo

Ujumbe wake pailo ulikuwa ufunuo kutoka hekaya za abunwasi wala matendo yake kuwa sarakasi tu bali ilikuwa ni ujumbe kutoka kwake mungu matendi yake pia yalionyesha utukufu kwake yesu

Mtihani wa tatu maisha ya Paulo yalithibitisha kwamba alihubiri ukweli watu hupata ujumbe mbili kutoka kwetu

Ujumbe wa kuhubiri na ujumbe wa matendo aliyohubiri aliyatekeleza maishani mwakenaweza kuhubiri ujumbe mtamu lakini matendo yakiwa kinyume yatakuwa kama maziya yaliyoenyuliwa

Zamani nilipokuwa mdaogo baba alifanya kazi katika shamba la mzungu kila asubuhi nilimwona mama akienda kuchoka maziwa yaliyoenguliwa baada ya kutolewa siagi yote na mafuta tuliyanywa yale maziwa lakini kama maji tu hayana fauda kubwa nwilinu. Mahubiri na matendo yetu, matendo na maneno yako yatadhobitisha afya na makusudi ya moyo

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!