Uamuzi Wa Mungu

Hope for Today (Swahili)
Hope for Today (Swahili)
Uamuzi Wa Mungu
/
Zaburi 2

HUJAMBO msikilizaji mpezi na karibu tujifunze neno la mungu pamoja kutoka zaburi 2 uamuzi wa mwenyezi mungu. Jina langu ni david mungai wimbo alfau tuendelee

Naam karibu tena tuivunze pamoja neno la, mungu

Tunapomwabudu mungu msikilizaji hiyo ibada hutuleta karibu sana na Mungu na tunapomwabudu mungu twapaswa kukubali kuongizwa na neno kwa hiyo nasoma sasa zaburi ya pili

1 Kwa nini mataifa yana msukosukoNa watu wananong’ona* kuhusu jambo lisilo na maana?+

2 Wafalme wa dunia wanajipangaNa maofisa wakuu wanakusanyika* pamoja kama kitu kimoja+Dhidi ya Yehova na dhidi ya mtiwa-mafuta* wake.+

3 Wanasema: “Na tuzikate pingu zaoNa kuzitupa kamba zao!”

4 Yule anayeketi kwenye kiti cha ufalme mbinguni atacheka;Yehova atawadhihaki.

5 Wakati huo ataongea nao kwa hasira yakeNa kuwatisha kwa hasira yake inayowaka,

6 Akisema: “Mimi mwenyewe nimemweka mfalme wangu+Juu ya Sayuni,+ mlima wangu mtakatifu.”

7 Acheni nitangaze agizo la Yehova;Aliniambia: “Wewe ni mwanangu;+Leo nimekuwa baba yako.+

8 Niombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wakoNa miisho ya dunia kuwa miliki yako.+

9 Utawavunja kwa fimbo ya mfalme ya chuma,+Nawe utawavunjavunja kama chombo cha udongo.”+

10 Basi sasa, enyi wafalme, onyesheni ufahamu;Kubalini kurekebishwa,* enyi waamuzi wa dunia.

11 Mtumikieni Yehova kwa woga,Na mshangilie mkitetemeka.

12 Mheshimuni* mwana, la sivyo Mungu atawaka hasiraNanyi mtaangamia kutoka njiani, Kwa maana hasira Yake huwaka upesi. Wenye furaha ni wale wote wanaomkimbilia Yeye.

Kutoka kwa fungu hili la neno, twapata utaratibu wa vile mungu alifikia uamuzi wake

Jambo la kwanza : kiburi cha wafalme mstari w akwanza wa neno waomyesha namna wafalme wa nataifa mbalimbali waliungana pamoja wafanye ghasia na kutafakari ubatili dhidi ya ufale wa masiah aliyetiwa mafuta

Kwake mungu huo ni ubatili awacheka . tangu lini kiumbe kikamzidi muumbaji? Wanadamu huwa kwenye mamlaka lakini ni kwa muda tu. Mwanaddamu hafai dafu akilinganiswa na uweza wa kristo masiah

Ushindi ni bwana milele na katika mstaei wa saba, yesu kristo aonekana na kusikika akisema

7 Acheni nitangaze agizo la Yehova;Aliniambia: “Wewe ni mwanangu;+Leo nimekuwa baba yako.+ 8 Niombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wakoNa miisho ya dunia kuwa miliki yako.+

Yehova mungu amesema kwamba ushindi ni wake milele. Hakuna kiumbe au hali iwayo yote raweza kulinganishwa na nguvu uweza na mamlaka ya yesu.

Msikilizaji, haijalishi ukali wa vita milele sisi ni washindi katika keisto yesu.

Mungu humpinga mwenye kiburi na kumwinua aliye myenyekevu

Mungu alimfurusha shetani pamoja na malaka wahe kwasababu ya kiburi. Mnyeyekevu na mwenda pole hajikwai ila mugni humkwza mnyeyekevu kwa wakati wake