Sikiliza Uishi

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
Sikiliza Uishi
Loading
/
Isaya 55:1-7

Salaam msikilizajimpenzi. Jinalanguni David Mungainanifurahayangukukuleteakipindiiki cha matumainileotwalichambuakwaundanifungu la neon kutokachuo cha nabiiisaya 55:1-7, sikilizausihi. Sikizawimbohalafutuendelee

Wimbo

Naamkaributena. Sikilizajini Baraka kuukuwanamasikionakwambaumeamuakutegakituohiki cha radio. Ni kipawakutokakwamungu.
Kwelimunguametuumbakwanjiayakuogofyanakutishalakinikusikilizamwengineyakupotoshakamams
engenyonatunapoamuakumkejelinakumfedheheshamtu. Lakinikulisikia neon nanyimbozakumwabudunakumtukuzamungunifaidakubwa.

Sasasikiliza neon kutokachuo cha nabii Isaya 55:1-7

1 Haya, kilaaonayekiu, njonimajini, Nayeasiyenafedha; njoni, nunuenimle; Naam, njoni, nunuenidivainamaziwa, Bilafedhanabilathamani.

2 Kwanikutoafedhakwaajiliyakituambachosichakula? Na mapatoyenukwakitukisichoshibisha? Nisikilizenikwabidii, mlekilichochema, Na kujifurahishanafsizenukwaunono.

3 Tegenimasikioyenu, nakunijia; Sikieni, nanafsizenuzitaishi; Nami nitafanyananyiagano la milele, Naam, rehemazaDaudizilizoimara.

4 Angalieni, nimemwekakuwashahidikwakabilazawatu; kuwakiongozinajemadarikwakabilazawatu.

5 Tazama, utaitataifausilolijua, nataifalisilokujuawewelitakukimbilia, kwasababuya Bwana, Munguwako, nakwaajiliyakeMtakatifuwa Israeli; maanaamekutukuza.

6 Mtafuteni Bwana, maadamuanapatikana, Mwiteni, maadamuyukaribu;

7 Mtumbayanaaachenjiayake, Na mtuasiyehakiaachemawazoyake; Na amrudie Bwana, Nayeatamrehemu; Na arejeekwaMunguwetu, Nayeatamsamehekabisa.

Msikilizajiyafikiriesanaasemayomungunaatakupaakilikatika mambo yote. Sikilizanautiliemaananimwito wake. 1 Haya, kilaaonayekiu, njonimajini, Nayeasiyenafedha; njoni, nunuenimle; Naam, njoni, nunuenidivainamaziwa, Bilafedhanabilathamani.

Munguanasemanasikatikafunguhilikwambatwashughulikiayaduniasasanakuyatupiliambaliyakirohow atumiahelanapesamkatenavihywaji na bado twahisi njaa lakini yesu alisema

Mimi ndimi chakula cha uzima yeye ajaye kwangu hataona njaa kabisa naye aniaminiye hataona kiu\ kamwe.

Chakula cha kiroho twakipata kwa imani bila malipo lakini nasikitika kwamba kunao baadhi ya wahubiri wanao kaidi neon la mungu na kupiga biashara neon la mungu kwa faida yao wenyewe. Kwa jina, ‘panda mbegu’. Neon linasema njooni kwangu, nunueni divai na maziawa bila fedha na bila dhamani. Mungu hufurahishwa na atoaye kwa hali na kwa moyo mkunjufu.

Jambo au ukweli mwingine wa kuzingatia ni kwamba twapaswa kutega masikio yetu na kumwendea Mungu atusimashishe moyoni

3 Tegenimasikioyenu, nakunijia; Sikieni, nanafsizenuzitaishi… baada ya kulisikiliza neno na mawaitha na mashauri yatatufaidi tukayatilie maanani mioyoni… Nami nitafanya nanyi agano la milele, Naam, rehema za Daudi zilizoimara.

Neno hilo agano la milele limeitwa agano Jipya katika kitabu cha Yeremia31:32-40,

Maana yake ni kwamba mugnu alifanya agano na watu wake hamna mtu aliye na uweza wa kubadilisha au kugeuza agano lake mwenyezi Mungu.

Ikiwa ni uzima wa milele amefanya agano nasi hilo agano ni la milele na tukiwawatiifu kulieneza neno na injili ya wokovu wa mataifa yote bila ubaguzi na injili ya Yesu kristo si ya kuuza pesa kwa kifo chake Kristo msalabani tumepata fidia maalum iletayo uzima wa milele.

Tumtafute Yesu wakati huu wa neema, sikiliza kwa makini upate kuishi milele

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!