Mfalme Mteule

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
Mfalme Mteule
Loading
/
Zaburi 110

Hujambo msikilizaji. Jina langu ni david mungai na ni furaha yanf=g kukuletea kipindi hiki cha matumaini. Leo twajfunza kutoka zaburi ya 110. Wimbo alafu tuendelee

Wimbo mtamu kweli. Walichambua neno kutoka zaburi ya 110 mfalme mteule

Yehova alimtangazia hivi Bwana wangu:

1 “Keti kwenye mkono wangu wa kuume+Mpaka nitakapowaweka maadui wako kuwa kiti cha miguu yako.”+

2  Yehova atainyoosha fimbo ya ufalme ya nguvu zako kutoka Sayuni, akisema: “Nenda ukitiisha kati ya maadui wako.”+  

3  Watu wako watajitoa kwa hiari katika siku ya jeshi lako.* Katika utakatifu wenye fahari, kutoka katika tumbo la uzazi la mapambazuko,Una kundi lako la vijana kama matone ya umande.

4  Yehova ameapa naye hatabadili nia yake:* “Wewe ni kuhani milele+Kwa mfano wa Melkizedeki!”+

5  Yehova atakuwa kwenye mkono wako wa kulia;+Atawaponda wafalme katika siku ya hasira yake.+

6  Atatekeleza hukumu dhidi ya* mataifa;+Atajaza maiti nchini.+ Atamponda kiongozi wa* nchi kubwa sana.*  

7  Atakunywa* maji ya kijito kilicho kando ya barabara. Kwa hiyo, atakiinua juu kichwa chake.

Fung hili ls neno lsmwonesha yesu kristo kuwa ndiye messiah kuhani na shujaa mpiga vita
Mstari wa 11 mpaka 2 kristo aonekana akishirikiana na mungu baba katika ufalme wa mbinguni alipo sasa na mstari wa pili waonyesha wazi kwamba pia kristo atatawala katika utawala wake hapa dunianh wa miaka elfu

Msikilizaji daima bwana wetu yesu kristo ni mfalme kwa wakati huu kristo yuaketi mkononi mwa mungu baba akitamalaki akitawala na akituombea kristo no bwana. Pamoja na hayo kristo atakaporudi mara ya pili baada ya miaka saba ya dhiki arayashinda ajeshi ya shetani na kutawala kwa miaka elfu

Maneno ya mstari wa 4 wamwonyesha kristo kwa mfano wa melkideki aliyekuwaa mfalme wa yerusalemu na kuhani. Alifanya mambo mawili kuwatawala watu na kuwaombea kwawakari huu kristo atawala mbinguni na anatuombea watu wake mflame melkideki

Daima kristo bwana wetu atuombea kama alivyowaombea watu wake mfalme melzdeki

Daima wakristo bwanawetu aruombea mfalme wakipekee siyo wafalme wemgi twawaombea watu wake ila kutamani ushuru kutika kwa wananchi. Yesu ni mfalme wa ajabu. Mfalme kuliko wafalme wote duniani.

Atukuzwe mwokozi maana katika jina lake sisi ni wadhindi na tutatawala naye

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!