Maisha Ya Kiroho

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
Maisha Ya Kiroho
Loading
/
Warumi 8:14-17

Hujambo na karibu leo twalichambua neno la mungu kutoka waraka wa Paulo kwa Warumi 8:14-17.

Maisha ya kiroho, jina langu ni davi mungai, wimbo alafu tuendelee

Wimbo

Naam karibu tena kila mtu anapenda Maisha mazuri na wengi twafanya kazi juu chini tuyapambe Maisha yetu hail kadhalika na mwenyezi mungu Maisha ya kiroho

Nasoma kutoka waraka wa Paulo kwa Warumi 8:14-17

14 Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.

15 Kwa kuwa hamkupokea tena roho wa utumwa iletayo hofu; bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, Aba, yaani, Baba.

16 Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu, ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu;

17 na kama tu watoto, basi, tu warithi; warithi wa Mungu, warithio pamoja na Kristo; naam, tukiteswa pamoja naye ili tupate na kutukuzwa pamoja naye.

Katika fungu hili la neno la mungu, twapata baraka mara nne

Kwenda katika roho ni kitendo cha baraka cha wana wa mungu maneno ya mstari wa 14

14 Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.

15 Kwa kuwa hamkupokea tena roho wa utumwa iletayo hofu; bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, Aba, yaani, Baba.

Ni ushuhuda war oho matakatifu popote panapo ushuhuda wa ukweli huwa ni kweli

Mst 16

16 Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu, ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu;

17 na kama tu watoto, basi, tu warithi; warithi wa Mungu, warithio pamoja na Kristo; naam, tukiteswa pamoja naye ili tupate na kutukuzwa pamoja naye.

Tumaini la ajabu na la kutuweka nguvu katika Imani yetu twateswa pamoja na kristo duniani na pamoja na kristo tutakuwa naye katika ufalme wake milele na milele

Basi na tuendelee na kristo leo n ahata siku zijazo maana hayo ndiyo mapenzi yake na ushuhuda huo umetolewa na roho mtakatifu wa mungu na ni utajiri mkuu wa milele na milele pamoja na kristo

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!