Kunao Msamaha

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
Kunao Msamaha
Loading
/
Warumi 3:21-26

Hujambo na karibu tujifunze neon pamoja. Jina langu ni david mungai na leo twalichambua neon kutoka waraka wa Paulo kwa Warumi 3:21-26 KUNAO MSAMAHA WA DHAMBI wimbo halafu tuendelee

Wimbo

Naam karibu tena.

Mtume Paulo, akiwaandikia warumi amehakikisha kuwonyesha kwamba sisi sote wenye dhambi ni mauti. tumemtendea mungu dhambi na jamba kustajabisha ni kwamba,-mungu mwenyewe ametengeneza njia ya kusamehewa dhambi.

Kwa hiyo, tunao uwezekano wa kusamehewa dhambi zote ni ukweli wa ajabu.

Sasa basi nasoma mungu hili ila neno kutoka waraka wa paulo kwa Warumi 3:21-26.

21 Lakini sasa, haki ya mungu imedhirika pasipo sheria,inashudiwa na torati wa manabii.

22 Ni haki ya mungu iliyo kwa njia ya imani katika yesu christo kwa wote waaminio maana hakuna tofauti.

23 Kwa sababu wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa mungu.

24 Wanahesabiwa haki bure kwa neema yake kwa njia ya ukombozi ulio katika kristo yesu.

25 Ambae amemueka mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya amani katika damu yake ili onyeshe haki yake kwasababu za kuziachilia katika ustahimili wa mungu dhambi zilitangulia kufanywa.

26 Apate kuonyesha haki yake wakati huu ili awe mwenye haki na mwenye kumhesabu haki yeye amwaminiye yesu.

Twamshukuru mungu sana kwa sababu tangu zamani anatujalia njia ya kusamehewa dhambi na makosa yetu.Hizo ni habari njema za wokovu, njia hizo ni zipi.

  1. Kwanza kabisa: Kwa Imani katika bwana yesu kristo mst 22.-Ni haki ya mungu iliyo kwa njia ya amani katika yesu kristo kwa wote waaminio maana hakuna tofauti. Msamaha wa dhambi zetu hupatikana kwa imani katika kristo yesu.
  2. Ni kwa neema katika yesu kristo. Mst 23 Kwasababu wote wmefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa mungu. Huwezi kumlaumu mtu yeyote wala huwezi kumlaumu mtu. Mungu amefanya yote kwa ajili na kwa niaba yako.
  3. Ukishatubu kuungama dhambi damu ya yesu huosha kabisa na mungu husahau yote: maana yesu kwa kifo chake yesu. Kwa Imani-Yesu ametupatanisha na mungu Baba Mst 26. Apate kuonyesha haki yake wakati huu ili awe mwenye haki na kumhesabu haki yeye amwaminiye yesu fidia imelipwa na unaweza kujitwalia msamaha wa dhambi na kwa kutubu na kuungama dhambi na kumwamini yesu kristo.Yesu angoja kukusamehe ameketi katika kiti cha huruma.

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!