Kumwamini Mungu Hufanya Nini

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
Kumwamini Mungu Hufanya Nini
Loading
/
Zaburi 16

Hujabo na karibu leo twalitazama neno kutoka zaburi 16, kumwamini mungu hufanya nini? Jima langu ni david mungai, wimbo alafu tuendelee

Naam kaibu tema twalitazama neno kutoka zaburi 16, kumwamini mungu ni jambo muhimu sana maishani mwetu nasoma zaburi 16

1 Unihifadhi, Ee Mungu, kwa maana nimekukimbilia wewe.+

2 Nimemwambia Yehova: “Wewe ni Yehova; wema wangu si kwa ajili yako,+

3 Bali kwa watakatifu walio duniani.Wao, naam, wale mashuhuri, ndio ninaopendezwa nao kabisa.”+

4 Maumivu huwa mengi kwa wale ambao, wakati kuna mtu mwingine, humfuata haraka.+Sitamimina matoleo yao ya kinywaji ya damu,+Nami sitayachukua majina yao juu ya midomo yangu.+

5 Yehova ndiye sehemu ya fungu langu+ nililogawiwa na ya kikombe changu.+Wewe unaishika sana kura yangu.

6 Kamba za kupimia zimeniangukia mahali panapopendeza.+Kwa kweli, miliki yangu mwenyewe naikubali.

7 Nitambariki Yehova, ambaye amenipa shauri.+Kwa kweli, nyakati za usiku figo zangu zimenirekebisha.+

8 Nimemweka Yehova mbele yangu daima.+Kwa sababu yuko upande wa mkono wangu wa kuume, sitatikiswa.+

9 Kwa hiyo moyo wangu unashangilia, nao utukufu wangu una mwelekeo wa kuwa na shangwe.+Pia, mwili wangu mwenyewe utakaa katika usalama.+

10 Kwa maana hutaiacha nafsi yangu katika Kaburi.*+Hutamruhusu mshikamanifu wako aone shimo.+

11 Utanijulisha njia ya uzima.+Shangwe ya kutosha iko pamoja na uso wako;+Kuna uzuri upande wa mkono wako wa kuume milele.

Katika zaburi hii, daudi atuongelesha faida ambazo kupata mahali pengine ni ngumu isipokuwa kutoka kwa mungu. kwa mfano katika fungu ka neno twaona ya kwamba kumwamni mungu ndiyo msingi wa maisha bora. Ndio sababu daudi aliomba,

Mugnu unihifadhu mumu kwa maananakukimbilia wewe

Kumwamini mumgu wetu huleta maisha yenye matumaini kwa nii? Kwasababu mungu wetu nu mungu aliyehai milele na milele ma habadiliki

Ukweli wa pili kumwamini mungu ndiyo elimu halisi. Daudi alisema bwana ndiye fungu la posho na lakikombe change wewe unaishika kura yangu

Kwa kifupi ni kusema haja na riziki zetu za kila siku hutoka kwa mwenyezi mungu Imani yako ni katika bwana wetu Yesu kristo twaupata uzima wetu maishani haya na maisha yajayo tutakapoishi naye yesu milele na milele. Bwana ndiye posho letu la kilasiu. Hii ndiyo sababu namwamini yesu

Ukweli wa tatu : kumwamini Bwana utatuletea utukufu tutakapofika mwisho wa maisha haya duniani na hayo ndiyo makao yetu ya milele na milele na hayo yote ni urithi wetu tunapomwamini Bwana wetu Yesu kristo maisha ya utukufu

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!