Kiburi Huangamiza

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
Kiburi Huangamiza
Loading
/
Danieli 5:13-31

Hujambo na karibu. Jina langu ni David Mungai. Leo twallihcambua kungu la Neno la Mungu kutoka kitabu cha Nabii Danieli 5:13-21 “KIBURI HUANGAMIZA”. Wimbo halafu tuendelee.

WIMBO

Karibu tena msikilizaji. Nasoma Danieli 5:13-21.

13 Nalipo Danieli akaletwa mbele ya mfalme. Na mfalme akanena, akamwambia Danieli, Je! Wewe ndiwe Danieli yule aliye mmoja wa wana wa Yuda, waliohanishwa, ambao mfalme, baba yangu aliwaleta huku toka Yerusalemu.

14 Nimesiklia habari zako, kwamba roho ya miungu imo ndani yako, na kwamba nuru na ufahamu na akili bora zimeonekana kwako.

15 Basi sasa, watu wenye hekima na wachawi wameletwa mbele yangu wapate kulisoma andiko hili na kunijulisha tafsiri yake, lakini hawakuweza kunijulisha tafsiri la jambo hili.

16 Lakini nimesikia habari zako, kwamba waweza kuleta tafsiri, na kufumbua mafumbo, haya ! Kama ukiweza kulisoma andiko hili, na kunijulisha tafsiri yake, utavikwa mavazi ya rangi ya zambarau na kuwa na mkufu wa dhahabu shingoni mwako nawe utakuwa mtu wa tatu kalika ufalme wangu.

17 Ndipo Danieli akajibu, akasema, mbele ya mfalme, zawadi zako zishike wewe mwenyewe na thawabu zako mpe mtu mwingine, walalakini nitamsomea mfalme maandiko haya na kumjulisha tafsiri yake.

18 Kwa habari zako. Ee mfalme, Mungu aliyejuu alimpa Nebukadreza, baba yako, ufalme, na ukuu, na fahari, na utukufu,

19 na kwa sababu ya ule ukuu uliompa na watu wa kabila zote, na mataifa na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua, alimwua, na aliyetaka kumwacha hai alimwacha hai, aliyetaka kumtukuza, alimtukuza, na aliyetaka kumshusha, alimshusha.

20 Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ulipokuwa ngumu akatenda kwa kibuvi, aliuzuliwa kaitika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.

21 Akafukuzwa mbali na wanadamu, moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama, na makao yake yalikuwa pamoja na punda mwitu, akalishwa maji kwa umande wa mbinguni, hata alipojua ya kuwa Mungu, Aliye juu ndiye anayetawala katika ufalme wa wanadamu, na ya kuwa humweka juu yake yeye amtakaye, awaye yote.

22 Na wewe mwenyewe Ee Belshaza, hukujinyenyekeza moyo wako, ijapokuwa ulijua hayo yote.

23 Bali umejiinua juu ya Bwana wa mbingu, nao wamevileta vyombo vya nyumba yake mbele yako na wewe, na wakuu wako na wake zako, na Masuria wako, mmevinywea, na umeisifu miungu ya fedha na ya dhahabu, na ya shaba na ya mti na ya mawe: wasioona, na kusikia neno lo lote: na Mungu yule, ambaye pumzi yako I mkononi mwake, na njia zako zote ni zake hukumtukuza.

24 Ndipo kile kitanga cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na maandiko haya yameandikwa.

25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya, MENE, MENE, TEKELI NA PERESI.

26 Na tafsiri ya maneno haya ni hii. MENE – Mungu ameusahau ufalme wako na kuukomesha.

27 TEKELI = umepiwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

28 PERESI – ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa wamedi na waajemi.

29 Ndipo Belshaza akatoa amri, nao wakamvika Danieli mavazi ya rangi ya Zambarau, wakatia mkufu wa dhahabu shingoni mwake, wakapiga mbiu kutangaza habari zake, ya kwamba yeye ni mtu wa tatu katika ufalme.

30 Usiku wa huo Belshaza, maflme wa Wakaldayo, akauawa.

31 Na Dario Mmedi, akaupokea ufalme, naye, umri wake alikuwa na miaka sitini na miwili.

Shetani, alituguza pabaya alipomdanganya mama wetu hawa pale bustanini mwa Edeni.

Kwa sababu ya kiburi shetani alifukuzwa kutoka mbinguni, pamoja na maleuika waliyoasi na milele, tayari. Wamehukumiwa kutupwa baharini iwakayo moto na kiberiti.

Kwa sababu, ya kiburi cha mfalme Nebukadizaru, ufalme wake, ulgawanywa kati ya Waamedi na Waajemi.

Mto wa Efurate, ulipitia chini ya mji wa Babiloni. Waamedi na Waajemi walichimba mtara, wakaundoa mto njiani pake. Maji yaliyopitia chini ya mji, yakapotoshwa mto chini ya mji, ukawa kama barabara.

Mfalme na kundi lake walikuwa, wanasherehekea,majeshi ya Wamedi na Waajemi wakapatia ile njia ya maji wkashuka mauleka mji ule.

Kiburi cha mfalme kikasababisha hasara kuu.

Kiburi maishani mwa mtu , kiburi kanisani, kiburi nchini husababisha hasara kuelewa.

Tunyenyekee chini ya mkono wa Mungu, naye Mungu atatukweza kwa njia na wakati wake

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!