Wagalatia 3:26-29 Katika maisha yetu tunavyo vitu tunavyothamini kuliko vingine kulingana na umuhimu wa vitu vile katika maisha yetu. Hii ni baada ya uchunguzi na…
Wagalatia 4:4-7 Katika tamaduni kunao baadhi ya makabila ambao walitumia mbuzi au kondoo kuwapokwa watoto ambao hawakuzaliwa katika boma aufamilia, walitoa mbuzi au kondoo kumchunga…
TEXT: WAGALATIA 4:15-20Hukambo msikilizaji wangu natumai ubuheri wa afya, utukufu ni kwake bwana mungu wetukatikakristo yesu, Leo twalichambua nno la mungu kutoka waraka wa Paulo…
Wagalatia 4:21-31 Hujambo msikilizaji wangu na karibu tujifunze neno pamoja. Natumai ubuheri wa afya leo twalichambua Neno kutoka kwa waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:21-31…