Paulo Awahimiza Wakorintho

Heralds of Hope
Heralds of Hope
Paulo Awahimiza Wakorintho
Loading
/

Hujambo na karibu msikilizaji mpenzi. Natumai u buheri wa afya, na kwamba u tayari kujifunza Neno la Mungu pamoja nami. Leo twalitazama fungu hili la Neno kutoka 2 Wakor. 6:11-18. Paulo awahimiza Wakorintho. Jina langu ni David Mungai. Wimbo halafu tuendelee Naam. Karibu tena, tujifunze Neno pamoja. Nasoma fungu hili: 2 Wakor 6:11-18 11 Vinywa […]

Tabia Katika Huduma

Heralds of Hope
Heralds of Hope
Tabia Katika Huduma
Loading
/

Hujambo na karibu tujifunze neno pamoja. Leo twalichambua neno kutoka 2 Jina langu ni David Mungai. Wimbo halafu tuendelee. Naam, karibu tena. Kusema kweli, yatupasa kupalilia tabia zetu maishani mwetu na katika huduma tumekabidhiwa na mwenyezi Mungu mikononi mwetu. Na Paulo atuonyesha namna katika 2 WAKORINTHO 6:1-10, tusome neno hili, 1 Nasi tukitenda kazi pamoja […]

Upendo Wa Kristo

Heralds of Hope
Heralds of Hope
Upendo Wa Kristo
Loading
/

Hujambo na karibu tujifunze neno pamoja. Leo twalichambua neno kutoka 2 WAKORINTHO 5:14-21, UPENDO WA KRISTO. Jina langu ni David Mungai. Wimbo halafu tuendelee. Naam, karibu tena. Twalichambua neno kutoka 2 WAKORINTHO 5:14-21, UPENDO WA KRISTO. Nasoma sasa 14 Maana upendo wa kristo watubidisha, maana tumehukumu hivi, ya kwamba mmoja alikufa kwa ajili ya wote […]

Makao Yetu Mbinguni

Heralds of Hope
Heralds of Hope
Makao Yetu Mbinguni
Loading
/

Natumai u buheri wa afya, msikilizaji mpenzi. Karibu tujifunze neno pamoja, 2 Wakorintho 5:1-10 ‘MAKAO YETU MBIGUNI’ Jina langu ni David Mungai. Karibu wimbo halafu tundelee. Naaam na kaributuendelee kujifunza neon. Leo twalichabua funghu la neno kutoka 2 Wakorintho 5:1-10. Makao yetu mbinguni. Nasoma fungu hili: 1 Kwa maana twajua ya kuwa nyumba ya maskani […]

Tabia Na Shida Katika Huduma

Heralds of Hope
Heralds of Hope
Tabia Na Shida Katika Huduma
Loading
/

Hujambo msikilizaji. Natumai u buheri wa afya na ni furaha yetu kukuletea kipindi hiki cha matumaini. Leo twalitazama fungu la Neno la Mungu kutoka 2 Wakorintho 4:1-18. Jina langu ni David Mungai. Wimbo halafu tuendelee. Naam na Karibu tujifunze Neno kutoka 2 Wakorintho 4:1-18 “TABIA NA SHIDA KATIKA HUDUMA” nakuomba usikilize kwa makini na ukiwa […]

Watumishi Wa Agano

Heralds of Hope
Heralds of Hope
Watumishi Wa Agano
Loading
/

Hujambo. Karibu tulichambue Neno pamoja, kutoka 2 Wakorintho 3:1-18 ‘WATUMISHI WA AGANO’. Jina langu ni David Mungai Karibu. wimbo halafu tuendelee. Naam. Karibu tena, tujifunze Neno pamoja. 2 Wakorintho 3:1-18. Tutaligawa fungu hili la Neno sehemu mbili (1) Mstari wa 1-3. Pendekezo la huduma. (2) Agano la huduma. Mstari 4-18. Nasoma, Wakorintho 3:1-18 1 Je, […]

Matumaini Ya Leo

Heralds of Hope
Heralds of Hope
Matumaini Ya Leo
Loading
/

Hujambo na Karibu. Leo twalichambua fungu la Neno la Mungu kutoka 2 Wakorintho 2:5-17. Jina langu ni David Mungai. Karibu wimbo, halafu tuendelee Naam wimbo wa kuburudisha kweli. Leo kama nilivyotangulia kusema. somo letu lapatikana katika 2 Wakorintho 2:5-17. Tutaligawa fungu hili katika sehemu mbili, Mstari 5-11- Fungu lafundisha namna ilivyo muhimu kumsamehe mwenye dhambi. […]

Paulo Abadili Mpango Wa Safari Yake

Heralds of Hope
Heralds of Hope
Paulo Abadili Mpango Wa Safari Yake
Loading
/

Hujambo na karibu, tujifunze Neno pamoja kutoka II Wakorintho 1:12-24. Paulo abadili mpango wa safari yake. Jina langu ni David Mungai. Karibu. Wimbo halafu tuendelee. Naam na karibu tena tujifunze Neno pamoja II Wakorintho 1:12-24 “Paulo abadili mpango wa safari yake.” Kabla ya kusoma fungu hili la Neno, ni muhimu kujua ya kwamba, baada ya […]

The Ministry Of The Spirit – Part 2

glory in the lord joy
Heralds of Hope
The Ministry Of The Spirit - Part 2
Loading
/

Next, we consider: 4 Now there are diversities of gifts, but the same Spirit. 5 And there are differences of administrations, but the same Lord. 6 And there are diversities of operations, but it is the same God which worketh all in all. 7 But the manifestation of the Spirit is given to every man […]

Bible Distribution

Heralds of Hope partners with in-culture believers to distribute Bibles. By collaborating closely with these partners around the world, we empower them to share God’s Word with their own communities.

Audio Content

Heralds of Hope offers two distinctive teaching programs: The Voice of Hope and Hope for Today, each centered on expository Bible teaching. The Voice of Hope is a weekly, thirty-minute program in English, while Hope for Today is a fifteen-minute international program offered in 26 languages. Both are available through radio and social media platforms.

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!