Kutafuta Umoja
Msikilizaji mpenzi natumai u buheri wa afya na ni furaha yangu kukuletea kipindi hiki cha matumaini. Leo twalichambua neno kutoka waraka wa Paulo kwa Wagalatia 2:6-10 kutafuta umoja Jina langu ni david mungai, wimbo alafu tuendelee Naam karibu tena twalichambua fungu la neno kutoka kwa waraka wa Paulo kwa Wagalatia 2:6-10 kutafura umoja. Katika karne […]
Simama Wima
Hujambo msikilizaji na karibu tujifunze neno pamoja leo twalichambua neno pamoja kutoka Wagalatia 2:1-5 jina langi ni David Mungai wimbo alafu tuendelee Naam karibu tena fnzo letu la leo linapatikana na kutoka Wagalatia 2:1-5 kinyonga hubadili rangi ya ngozi kulingana na kuambatana na mazingira yaliyomo na kwa njia huyo hujificha na adui zake watu wengi […]
Kwanini Paulo Alikuwa Tofauti
Ujambo na karibu tujifunze neno pamoja. Jina langu ni David Mungai na ni furaha yangu kukuletea kipindi hiki cha matumaini leo twalichambua nen kutoka waraka wa Paulo kwa Wagalatia 1:15-24 kwanini Paulo alikuwa tofauti wimbo alafu tuendelee Naam karibu tena. Twalichambua fungu la neno kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 1:15-24, kwanini Paulo alikuwa tofauti […]
Ujue Moyo Wako
Hujambo na karibu tujifunze neno la mungu kutoka kwa waraka wa Paulo kwa Wagalatia 1:10-14 ujue moyo wako. Jina langu ni david mungai, karibu wimbo alafu tuendelee Naam karibuntena utaujua moyo wako namna gani? Kaa hapo tushaurianeninappposema moyo simaanishi kile kiungo cha mwili bali ni mahali ambapo hu=ufanya uamuzi wako. Hii ndiyo sababu neno husema […]
Njia Yakipekee Na Ya Kweli
Hujambo msikilizaji wangu natumai ubuheri wa afya na hilo ndolo ombi langu. Leo twalitazama kwa wimbo alafu tuendelee Naam karibu tena Wagalatia 1:6-9 ndilo fungu letu la leo . kunazo dini nyingi sana duniani na kila dini huwa na mafundisho yake na kila dini hufuata njia za kumfikia mungu Twaamini kunayo mbinguni na mwenyezi mungu […]
Sheria Na Injili
Hujambo msikilizaji wangu mpendwa, jina langu ni david mungai na ni futaha yangu kukuletea kipindi cha matumaini. Leo twalichambua fungu la neno kutoka waraka wa pailo kwa Wagalatia 1:1-5, sharia ndani ya injili. Wimbo alafu tuendelee Naam karibu tena tujifunze neno pamoja waraka wa Paulo kwa wagalatia 1:1-5 sheria ndani ya injili Mungu huchagua kuwarumia […]
Namna Yakupata Amani
Hujambo na karibu tujifunze pamoja neno la mungu. Leo twalichambua neno la mungu kwa undani kutka zaburi 32 namana ya kupata Amani. Jina langu ni david mungai. Wimbo alafu tuendelee Naam karibu tena tujifunze neno. Kila mmoja wetu hutamani sana kuwa na hali ya Amani kati yetu na mwenyezi Mungu dini nyingi duniani zimejaribu hayo […]
Mwanadamu Aliyeumbwa Na Mungu
Hujambo na katibu tujifunze neno la mungu pamoja leo twajifunza kutoka zaburi ya 8 Jina langu ni david mungai. Karibu winbo alafu tuendelee Naam karibu tena somo letu la leo limetolewa kutoka zaburi ya 8 mwanadamu aliyeumbwa na munguZaburi hii yauliza mst wa 4 mutu ni kitu gani hata ukumbuke Sisi ni wa maana sana […]
Mfalme Mteule
Hujambo msikilizaji. Jina langu ni david mungai na ni furaha yanf=g kukuletea kipindi hiki cha matumaini. Leo twajfunza kutoka zaburi ya 110. Wimbo alafu tuendelee Wimbo mtamu kweli. Walichambua neno kutoka zaburi ya 110 mfalme mteule Yehova alimtangazia hivi Bwana wangu: 1 “Keti kwenye mkono wangu wa kuume+Mpaka nitakapowaweka maadui wako kuwa kiti cha miguu […]
Uamuzi Wa Mungu
HUJAMBO msikilizaji mpezi na karibu tujifunze neno la mungu pamoja kutoka zaburi 2 uamuzi wa mwenyezi mungu. Jina langu ni david mungai wimbo alfau tuendelee Naam karibu tena tuivunze pamoja neno la, mungu Tunapomwabudu mungu msikilizaji hiyo ibada hutuleta karibu sana na Mungu na tunapomwabudu mungu twapaswa kukubali kuongizwa na neno kwa hiyo nasoma sasa […]