TAZAMA PANDE ZOTE MBILI
WAGALATIA 4:21-31 Hujambo msikilizaji wangu na karibu tujifunze neno pamoja. Natumai ubuheri wa afya leo twalichambua Neno kutoka kwa waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:21-31 tazama pande zote mbili, jina kangu ni david mungai, karibu wimbo alafu tuendelee kulichambua neno WIMBO Naam karibu tena wagalatia 4:21-31 tazama pande zote mbili Wahenga hata wataalamu wa mashauri […]
HATARI YA KIROHO
MATUMAINI PROG 1509TITLE: HTARI YA KIROHOTEXT: WAGALATIA 4:15-20 Hukambo msikilizaji wangu natumai ubuheri wa afya, utukufu ni kwake bwana mungu wetu katikakristo yesu, Leo twalichambua nno la mungu kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:15-20 HATARI YA KIROHO jina langu ni david mungai wimbo alafu tuendelee WIMBO Naam karibu tena tujifunze neno la mungu wagalatia […]
UPUNGUFU
MATUMAINI PROG 1508TITLE: UPUNGUFUTEXT: WAGALATIA 4:8-14Hujambo na karibu tujifunze neno la mungu pamoja leo twalichambua fungu la neno kutoka wagaltia 4:8-14 UPUNGUFUJina langu ni David Mungai, wimbo alafu tuendeleeWIMBONaam karibu ten tujifunze neno la mungu, upungufu mmoja wapo wa mambo yaliyo na upungufuni dini na zaidishirika za waumini zilizo na ufisadi. Tumefisadihata nainjili tunapoiuza injili […]
UMUHIMU WA IMANI
MATUMAINI PROG 1506TITLE: UMUHIMU WA IMANITEXT: WAGALATIA 3:26-29Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tujifunze neno pamoja. Leo twalichambua fungu la neno kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:26-29, UMUHIMU WA IMANI jina langu ni David Mungai kabla hatujaendelea Zaidi furahia wimbo huu tuendellWIMBONaam karibu tena tujifunze neno waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:26-29 UMUHIMU WA IMANIKatika […]
KWANINI TORAKI
MATUMAINI PROG 1505TITLE: KWANINI TORAKITEXT: WAGALATIA 3:19-25Hujambo msikilizaji karibu tulichambue neno waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:19-25, kwanini torati? Jina langu ni david mungai wimbo halafu tuendeleeWIMBOKaribu tena tujifunze neno katika mafunzo ya neno la mugnu twajua na kufahamu ya kwamba mungu ni mungu wa torati na ana utaratibu kwa mfano jua huchomoza kati siku […]
UKWELI WA AGANAO NA IBRAHIMU
MATUMAINI PROG 1504TITLE: UKWELI WA AGANAO NA IBRAHIMUTEXT: WAGALATIA 3:15-18Hujambo msikilizaji wangu karibu sana tujifunze neno la mungu, leo twajifunza kwa undani fungu la neno nkutoka warakawa Paulo kwa wagalatia3:15-18, jina langu ni David mungai, wimbo alafu tuendleeWIMBONaam katibu tena tujifunze neno, wagalatia 3:15-18 ukweli wa agano na ibrahimuBaba yetu ibrahimu ni mtu muhimu na […]
JIHEPUSHE NA HUKUMU YA KIFO
MATUMAINI PROG 1503TITLE: JIHEPUSHE NA HUKUMU YA KIFOTEXT: WAGALATIA 3:10-14Hujambo mpenzi msikilizaji, natumai ubuheri wa afya na hayo ndiyo maombi yangu. Leo twalichambua neno kutoka kwa waraka wa Paulo kwa wgaltia 3:10-14, jihepushe na hukumu ya kifo. Wimbo alafu tuendeleeWIMBO Naam karibu tena tujifunze neno. Twalichambua fungu la neno kutoka kwa waraka wa Paulo kwa […]
BABA YETU IBRAHIMU
MATUMAINI PROG 1502TITLE: BABA YETU IBRAHIMUTEXT: WAGALATIA 3:6-9Hujambo msikilizaji wangi mpenzi na karibu tulichambue neno la mungu pamija. Jina langu ni david mungai. Wagalatia 3:6-9 baba yetu ibrahimu. Wimbo alfu tutaendelea.WIMBONaam karibu tena tulichambue fungu la nenp kutoka wagalatia 3:6-9 baba yetu ibrahimuKwanini ibrahimu alijulikana sana katika historia ya biblia? Jibu ni kwamba ibrahimu alikuwa […]
JINSI IMANI INAVYOFANYA KAZI
MATUMAINI PROG 1501TITLE: JINSI IMANI INAVYOFANYA KAZITEXT: WAGALATIA 3:1-5Hujambo. Karibu tujifunze pamoja kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:1-5 jinsi Imani hufanya kazi. Jiana langu ni David mungai, wimbo alfu tuendeleeWIMBONaam karibu tena. Baadhi yetu hufikiria ya kwamba Imani yetu ni kikwazo wengine hufikiria na kuwaza waza kuwa Imani ni hali ya akili tu lakini […]
MSALABA WA YESU NI LAZIMA
MATUMAINI PROG 1500TITLE: MSALABA WA YESU NI LAZIMATEXT: WAGALATIA 2:20-21Hujambo na karibu tujifunze neno lamungu pamoja msalaba wa yesu kristo ni lazima ndio mada yetu. Wagalatia 2:20-21. Jina langu ni david ungai wimbo alafu tuendeleeWIMBONaam karibu tujifunze pamoja kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 2:20-21, msalaba wa yesu ni lazima.Makanisa mengi karibu yote huonyesha na […]