Unapojihisi Mnyonge

November 14, 2018/
Heralds of Hope
Heralds of Hope
Unapojihisi Mnyonge
Loading
/
Wagalatia 2:11-14

Hujambo na karibu. Leo twalitazama kwa undani fungu la neno la mungu kutoka waraka wa Paulo kwa warumi 2:11-14, unapojihisi mnyonge. Jina langu ni David Mungai, wimbo alafu tuendelee

Naam karibu tena tujifunze neno la mungu pamoja waraka wa Paulo kwa Wagalatia 2:11-14 Unapojihisi mnyonge.

Ni muhimu kujimudu tusiwe eti kwasababu ya udhahifu na unyonge haswa wa kiroho tunaangukana kukaa pale hili ndilo lengo la kipindi hiki kwamba mna tumaini sasa nasoma kutoka waraka wa Paulo kwa Wagalatia 2:11-14

11 Lakini Petro alipofika Antiokia, mimi nilimpinga hadhar ani kwa kuwa alikuwa amekosea.

12 Kwa sababu kabla ya watu kadhaa waliotoka kwa Yakobo hawajafika, alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa mengine. Lakini baada ya hao watu kufika ali ji tenga, akaacha kula pamoja na watu wa mataifa mengine, kwa kuwaogopa wale wa kundi la tohara.

13 Pia Wayahudi wengine wal iungana naye katika unafiki huu, hata Barnaba naye akashawishika kuwaunga mkono.

14 Nilipoona kwamba msimamo wao kuhusu ukweli wa Injili hau kuwa wazi, nilimwambia Petro mbele za watu wote, “Ikiwa wewe uliye Myahudi unaishi kama watu wa mataifa, na huishi kama Myahudi, unawezaje kuwalazimisha watu wa mataifa mengine waishi kama Wayahudi?” Habari Njema Aliyohubiri Paulo

Kama alivyokuwa simony petro, sis pia na nyakati ambazo udhaifu na unyonge wetu huonekana wazi ndugu na dada twasalimu vizuri wengine hauwaamkui hata salamu za mungu. lakini swali ni hili, kwanini tuwe na nyakati kama hizi?

Jibu la kwanza ni kwasababu ya woga. Katiak kitabu cga natendo ya mitume sura ya kumibwana kwa aini alijionyesha kwake petro akamtuma kwa korinrlio mkubwa wa askari mia wa kirumi mtu wa mataifa

Petro akwa na wakati mgumu kwa sababu aliogopa kwenda kinyume nay ale aliyofunzwa katika mila na desturi wayahudi hawakujihusisha na mengi ya waru wa mataifa. Aliogopa na alipokiwa antiokia yakobo na wengine wachache kutoka yerusalemu walifika na petro akaonyesha utofauti kati ya

Paulo na wegine kanakwamba hakupenda ushirika wa watu wa mataifa.

Paulo akamkemea pale pale

Jibu la pili ni kujifanya

Petro kwasababu ya kujipendekeza kwa makudi yote mawili alileta mgawanyiko katika kundi la waaminio na hivi hawakuweza kuwa na ushirika wa kudumu acha kujifanya, simaia Imani yako usiwapoteze ndugu au dada katika ushitika wenyu yakobo alitushauri kutokuwa na walimu erngi katika shirika. Yaani tusifunze mafundisho yanayo tofautiana na neno lake mungu

Jibu la tatu ni kwa ndugu washupavu kukosoa. Paulo alisema katika mstari wa 11-12

Lakini petro alipokuja antiokia nilishindana naye uso kwa uso kwasababu alistahili hukumu kwasababu kabla hajawataja watu kadhaa waliotoka kwa yakobo alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa lakini walipokuja wao akarudi nyuma akijitenga huku akiwaogopa

Hivyo ndivyo Paulo alivyomtendea petro. Ukiwa mnyonge kama petro wamhitaji ndugu mjasiri akuambie ukweli unyonge na udhahifu wetu husababishwa na uoga wetu unafiki na twahitaji ndugu wasiogope kutukemea tushukuru kwa ndugu kama hao

Bible Distribution

Heralds of Hope partners with in-culture believers to distribute Bibles. By collaborating closely with these partners around the world, we empower them to share God’s Word with their own communities.

Audio Content

Heralds of Hope offers two distinctive teaching programs: The Voice of Hope and Hope for Today, each centered on expository Bible teaching. The Voice of Hope is a weekly, thirty-minute program in English, while Hope for Today is a fifteen-minute international program offered in 26 languages. Both are available through radio and social media platforms.

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!