Jinsi Ya Kuhesabiwa Haki Mbele Za Mungu

November 15, 2018/
Heralds of Hope
Heralds of Hope
Jinsi Ya Kuhesabiwa Haki Mbele Za Mungu
Loading
/
Wagalatia 2:15-19

Hujambo na karibu popote ulipo leo twalichambua neno kutoka waraka wa Paulo kwa Wagalatia 2:15-19 jinsi ya kuhesabiwa haki Mbele za mungu. jina langu ni David Mungai, karibu wimbo alafu tuendelee

Naam karibu tena twalichambua fungu la neno la mungu kutoka waraka wa Paulo kwa Wagalatia 2:15-19 jinsi ya kuhesabiwa haki Mbele za mungu

Ni jambo la haki kuwa ndani ya kila mmoja wetu, tunacho kiu na njaa ya kumjua mungu Zaidi twapenda kujua namna ya kuhesabiwa haki maana tulizaliwa katika dhambi na kwa kweli dhambi imetutesa sana

Nasoma fungu hili la neno wagalatia 2:15-19

15 Sisi tulio Wayahudi wa kuzaliwa na sio watu wa mataifa ‘wenye dhambi,’

16 tunafahamu kwamba mtu hawezi kuhesabiwa haki kwa kutii sheria bali kwa kumwamini Yesu Kristo. Kwa hiyo sisi pia tumemwamini Yesu Kristo ili tupate kuhesabiwa haki kwa kumwa mini Kristo, na wala si kwa kuitii sheria. Maana hakuna mtu ata kayehesabiwa haki kwa kutii sheria.

17 Lakini ikiwa sisi katika jitihada ya kuhesabiwa haki katika Kristo, bado tunaonekana tun gali wenye dhambi, je, hii ina maana kwamba Kristo amekuwa mwene zaji wa dhambi? La hasha!

18 Lakini ikiwa mimi nina jenga tena kile ambacho nimekwisha bomoa, basi ninadhihirisha kwamba mimi ni mvunja sheria.

19 Kwa maana mimi kwa njia ya sheria, nimeifia sheria, ili nipate kuishi kwa ajili ya Mungu.

Fungu hili la neno la mungu latuonyesha yakwamba ili tuhesabiwe haki twapaswa kuchukua hatua angaa tatu

1 lazima tuelewe msingi. Msingi huo ni yesu kristo nasoma tena mstari wa 19

Maana mimi kwa njia ya sharia niliifia sharia ili ni mwishie mungu

Msingu wa kuhesabiwa haki kwetu ni kumwamini na kumwishia yesu kristo. Palo akiwaandikia warumi alisema, kwamaana sote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa mungu ni yesu kristo tu bwana wetu ambaye hakutenda lakini alisulubiwa msakabani awe fidia yea dhambi zetu.

Yesu tu ndiye anayefaulu kuwa msingi wa kuhesabiwa haki kwetu

2 hatua ya pili ya kuhesabiwa haki kwetu ni kwamba lazima tujifunze kuuliza swali hili, yesu kriso yu wapi katika jambo hili? Sisi twahesabiwa haki kwa kumwamini Yrsu kristo kwa sababu ni yeye mpatanishi kati yetu na Mungu. nasoma mstari wa 17

Lakini ikiwa sisi wenyewe kwa kutafuta kuhesabiwa haki katika kristo tulionekana kuwa wenye ndhambi je kristo amekuwa mtumishi wa dhambi? Hasha!

Ndiyo tumepatikanan kuwa wenye ndambi lakini ni katiak kristo sisi kuhesabiwa haki yesu kristo ndiye njia yetu ya kuhesabiwa haki

Hatua ya tatu lazima tujue na kuamini ni katika yesu kristo sisi huwekwa huru kuwekwa huru ni hatari sana tusipowajibika kuishi maisha yetu katika yesu kristo kwa kanuni na kweli za neno lake mungu twaweza kuhesabiwa haki.

Lazima tuwe na uhusiano wa kudumu, lazima pawe na mawasiliano. Mawasiliano yetu na mungu ni kupitia kwa yesu kristo, kuomba kumwabudu mungu na kumpa nadasi ya kwanza maishani kwetu. Ni yeye tu tunaweza kuabudu. Je wajua ya kwamba ni yesu kristo bwana wetu tutaishi kuabudu.

Naomba kwamba roo mtakatifu awe nguzo kaktia mioyo na katika matendo yako

Bible Distribution

Heralds of Hope partners with in-culture believers to distribute Bibles. By collaborating closely with these partners around the world, we empower them to share God’s Word with their own communities.

Audio Content

Heralds of Hope offers two distinctive teaching programs: The Voice of Hope and Hope for Today, each centered on expository Bible teaching. The Voice of Hope is a weekly, thirty-minute program in English, while Hope for Today is a fifteen-minute international program offered in 26 languages. Both are available through radio and social media platforms.

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!