HATARI YA KIROHO

hft swahili 2022
Hope for Today (Swahili)
HATARI YA KIROHO
Loading
/

MATUMAINI PROG 1509
TITLE: HTARI YA KIROHO
TEXT: WAGALATIA 4:15-20

Hukambo msikilizaji wangu natumai ubuheri wa afya, utukufu ni kwake bwana mungu wetu katikakristo yesu, Leo twalichambua nno la mungu kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:15-20 HATARI YA KIROHO jina langu ni david mungai wimbo alafu tuendelee

WIMBO

Naam karibu tena tujifunze neno la mungu wagalatia 4:15-20 HATARI YA KIROHO

Maisha ya kimwili yana hatari zake hali kadhalika maisha ya kiroho nasoma kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:15-20

15 Ku wapi, basi, kule kujiita heri? Maana nawashuhudu kwamba, kama ingaliwezekana, mngaling’oa macho yenu, mkanipa mimi.

16 Je! Nimekuwa adui wenu kwa sababu nawaambia yaliyo kweli?

17 Hao wana shauku nanyi, lakini si kwa njia nzuri, bali wanataka kuwafungia nje, ili kwamba ninyi mwaonee wao shauku.

18 Navyo ni vizuri kuonewa shauku katika neno jema sikuzote, wala si wakati nikiwapo mimi pamoja nanyi tu.

19 Vitoto vyangu, ambao kwamba nawaonea utungu tena mpaka Kristo aumbike ndani yenu;

20 laiti ningekuwapo pamoja nanyi sasa, na kuigeuza sauti yangu! Maana naona shaka kwa ajili yenu. Nyakati zingine Baraka zaweza kuwa hatari ya kiroho, yaani unaweza kuwa umeokolewa na kuanza kujigamba umeokolewa hiyo ni hatari kubwa

Ni vyema na Baraka kuu kuweka na kupalilia Imani yako kwa maombi na kujitwalia kanuni na ahadi za mungu kuliko kiburi na kujigamba kwako anapojigamba mtu huwa amesahau ule upendo wa kwanza kanisa al epheso lilikuwa katika hali hiyo hata mungu akamwamuru yohana kuwakumbusha ya kwamba kanisa lile lilikuwa lieacha upendo wa kwanza na lilipaswa kutubu na kuungama na kuurejesha uhusiano mwema na mungu. tusizichukue Baraka zetu kwa mzaha na kwa majivuno tuuvae unyenyekvu na upendo mugnu humpinga mwenye kiburi na kumkweza mnyeyekevu, jambo linguine ni kwamba kundi la waalimu wa uongo lilinyemelea kanisa la Galilalaya kwa mafundisho ya uwekaji wa torati na sharia kwa Imani na tunaupata kwa Imani na kwa neema yake mungukwa maneno mengi na machanche waliongzea cumvi juu ya wokovu tunaopata kwa neema yake bwana yesu, Jihadhari na watu kama hao, hujipendekeza kwako na hupotosha

Badala ya hao waongo yatilie maanani maneno ya wakristo wa karibu wenye upendo wa kukuza kiroho

19 Vitoto vyangu, ambao kwamba nawaonea utungu tena mpaka Kristo aumbike ndani yenu;

20 laiti ningekuwapo pamoja nanyi sasa, na kuigeuza sauti yangu! Maana naona shaka kwa ajili yenu. Nyakati zingine Baraka zaweza kuwa hatari ya kiroho, yaani unaweza kuwa umeokolewa na kuanza kujigamba umeokolewa hiyo ni hatari kubwa

Ni vyema kuishi maisha ya kikristo katiak mwanga kwa maneno kiasi na vitendo Zaidi

OMBO

Enap wahitajimsaada kutoka kwt, tafadhali wasiliana nasi, anwani na nambari za simu ntazisoma baada ya wimbo huu

Receive Weekly Encouragement

Sign-up to get a sermon straight to your inbox on a weekly basis!